Mkurugenzi Jiji la Tanga nakuomba ulifanyie kazi hili la kupotea kwa barua kwenye ofisi yako ya Masijala. Nadhani hakuna letter movement /trail order nzuri ya kuifuatilia barua iko wapi tangu inapopokelewa ofisi ya masijala. Kumekuwa na watu wengi masjala kuulizia barua zao "zimefia" wapi baada ya kusubiri muda mrefu hata miezi miwili bila kupata majibu.
Lifanyie kazi tafadhali ili kuondoa usumbufu mtu anaoupata kuja kufuatilia barua.
Sina nia ya kuwachongea bali kuboresha.
Lifanyie kazi tafadhali ili kuondoa usumbufu mtu anaoupata kuja kufuatilia barua.
Sina nia ya kuwachongea bali kuboresha.