Imewahi nitokea mida ya jioni, nilikua napafahamu lkn kilochonitokea sikuamin.!Kipindi hicho nakaa tegeta Kwa ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa...
Umenichekesha sana, siku niko na bro tumetoka party kula mitungi sasa e bana turudi home tuchukue taxi nikazereu taxi hapo dk 5 tumefika huku namponda "tutembee wewe kata mafuta hayo🤣🤣🤣"Kipindi hicho nakaa tegeta Kwa ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa. Nilizunguka sehemu moja kwa muda mrefu huku nikiona kama baadhi ya watu wananisema. Mpaka leo sielewi kilinipata nini maana hiyo sehemu sikuwa mgeni nilikuwa nimeishi karibu miaka 5.
Baada ufahamu ulivyorudi nilikuwa nazunguka maeneo hayo hayo ya njia ya kuelekea nyumbani.
Ulikuwa umeeingia kwenye anga za wapumbavuHali hiyo najua inakupata hasa ukiwa porini,inaitwa kupigwa ndui kwa sisi wanyiramba,nilikuwa nachunga ng’ombe gafla nikawa sijui tena uelekeo wa nyumbani katikati...
Athar za Kupiga nyeto kupitiliza mkuu
we jamaaAthar za Kupiga nyeto kupitiliza mkuu
dronedrake katuharibia Sana taifa la kesho[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachangamsha kijiwe mkuu[emoji3]we jamaa
Hutokea sana kwa wengi hasa ukiwa eneo geni kidogo kwasababu ya kupoteza ramani ya mahali na kushindwa kuwauliza wenyeji kutokana na hofu au kiburi pia. Lakini yaweza kuletwa na michezo ya wachawi kutaka kukupima upoje kimazingara au hata kujifurahisha tu. Mara nyingi mtu hakumbuki cha kufanya wakati amepotea ila atakuja shtuka baadaye wakati ameshafika eneo husika.Kipindi hicho nakaa tegeta Kwa ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa. Nilizunguka sehemu moja kwa muda mrefu huku nikiona kama baadhi ya watu wananisema. Mpaka leo sielewi kilinipata nini maana hiyo sehemu sikuwa mgeni nilikuwa nimeishi karibu miaka 5.
Baada ufahamu ulivyorudi nilikuwa nazunguka maeneo hayo hayo ya njia ya kuelekea nyumbani.
Hapo mwishoni huko sahihi, ni kweli hukumbuki cha kufanya ndio maana utazunguka sehemu moja kwa muda mrefu mpaka ufahamu urudi. Kiukweli sio usahaulifu ndio maana ufahamu ukirudi utashangaa Sana kuwa pale Kwa muda mrefu bila kufika sehemu uliyokuwa unaenda na unaijua Kwa 100%Hutokea sana kwa wengi hasa ukiwa eneo geni kidogo kwasababu ya kupoteza ramani ya mahali na kushindwa kuwauliza wenyeji kutokana na hofu au kiburi pia. Lakini yaweza kuletwa na michezo ya wachawi kutaka kukupima upoje kimazingara au hata kujifurahisha tu. Mara nyingi mtu hakumbuki cha kufanya wakati amepotea ila atakuja shtuka baadaye wakati ameshafika eneo husika.