Kupotea sehemu unayoijua inasababishwa na nini?

Kupotea sehemu unayoijua inasababishwa na nini?

Hali hiyo najua inakupata hasa ukiwa porini,inaitwa kupigwa ndui kwa sisi wanyiramba,nilikuwa nachunga ng’ombe gafla nikawa sijui tena uelekeo wa nyumbani katikati ya pori halafu nipo peke yangu sijui narudi Vipi nyumbani ,mbinu niliyowahi kupewa na babu yangu ni kwamba hali kama hiyo ikikukuta ukiwa unachunga ng’ombe ni kwamba Hakikisha unawachunga vizuri wale washimbe ikifika tu jioni ng’ombe wenye watoto ndio huongoza kwenye nyumbani ili wakanyonyeshe,na kwenye nilifanya hivyo jioni ng’ombe waliniongoza hadi nyumbani,yaani nakuja kustuka ndio naingia home kabisa kama vile nimetoka usingizi kumbe live,nilishangaa sana wakati nilikuwa naenda kuchunga sehemu hizo hizo miaka 3 bila kupotea
M layleyaaani mbwane weeee...
 
Itakuwa kuna mdudu ulimkanyaga bila kujua na dawa yake ni mpaka mtu akuzabe kofi ndio akili inarudi
Nilisikiaga watu wanasema wakati nakua ila sijui inakweli wowote na huyo mdudu sijui ni mdudu gani
 
Kipindi hicho nakaa Tegeta kwa Ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa.

Nilizunguka sehemu moja kwa muda mrefu huku nikiona kama baadhi ya watu wananisema. Mpaka leo sielewi kilinipata nini maana hiyo sehemu sikuwa mgeni nilikuwa nimeishi karibu miaka 5.

Baada ufahamu ulivyorudi nilikuwa nazunguka maeneo hayo hayo ya njia ya kuelekea nyumbani.
Kosa kubwa kutembea na card ya uanachama wa ccm. Kupotea ni kugusa
 
Hata Mimi nilipotea kiajabu! Dunia Ina mengi, nasikia kuna mdudu ukimkanyaga tu unapotea. Ila issue yangu ilikuwa ya kishirikina.
 
Nshawahi kutana na msala kama huu Kigogo daSaLama miaka mitatu imepita,nimetoka kwenda dukani manzi kaomba nimchukulie wine,ila kurudi nikasahau njia ya ghto,nilizunguka mtaa ule ule dakika kama 20 watu wamekaa kibarazani kama wanashangaa na Mimi nawashangaa na siwezi wauliza kwangu ni wapi wasije niona mvuta bangi.Basi bahati manzi nae kanifuata kuona nimechelewa Kanikuta nan'gaa sharubu hatua 10 tu kutoka ghto,nikazuga wine niliifuata mbali.
 
Nshawahi kutana na msala kama huu Kigogo daSaLama miaka mitatu imepita,nimetoka kwenda dukani manzi kaomba nimchukulie wine,ila kurudi nikasahau njia ya ghto,nilizunguka mtaa ule ule dakika kama 20.
daah! We jamaa,ulipata kweli hata hamu ya ku*****, maana so kwa mawazo yale baada ya kufika geto
 
Kipindi hicho nakaa Tegeta kwa Ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa.

Nilizunguka sehemu moja kwa muda mrefu huku nikiona kama baadhi ya watu wananisema. Mpaka leo sielewi kilinipata nini maana hiyo sehemu sikuwa mgeni nilikuwa nimeishi karibu miaka 5.

Baada ufahamu ulivyorudi nilikuwa nazunguka maeneo hayo hayo ya njia ya kuelekea nyumbani.
Nenda Zanzibar halafu pita vinjia vya ndani vya mji mkongwe!!!!!!!!! Nilizunguka ili nielekee bandarini, nikaribu sana lakini we!!!!!!!!!!!!!! Nenda kajaribu!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom