LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Hivi karibuni kulikuwa na vinywaji vya MO mtaani ambavyo vilikuwa vinafanya vizuri sana sokoni kutokana na ujazo wake mkubwa wa ml 400 kwa kila chupa na kwa bei ile ile ya sh 500 kama vinywaji vingine vya backressa na soda
Lakini hivi karibuni nimeahtuka havionekani kabisa madukani na ukiwauliza kila mtu ana jibu lake , je vimefungiwa kwa kukosa ubora au tatizo lipo wapi?
Kama vina tatizo ni heri Tfda watoe taarifa na kama havina tatizo bali ni mambo mengine namshauri MO atupe taarifa sahihi wateja wake ili tujue hivi vinjwaji vinarudi lini sokoni
===========================