kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Where law and moral conflict the law prevailsWe are on the same page man.
My view based on morality.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where law and moral conflict the law prevailsWe are on the same page man.
My view based on morality.
Morally hata coke hawakupaswa kuuza coke-cola kwasababu it is a non food, but legally wako sawa. Biashara haina halali bali ina uhalali.Morally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko morality
Kiswahili changu si kikubwa sana kuweza kutenganisha maana ya hayo maneno mawili najua la kwanza ni adjective na pili ni nounMorally hata coke hawakupaswa kuuza coke-cola kwasababu it is a non food, but legally wako sawa. Biashara haina halali bali ina uhalali.
[emoji27] [emoji27]vina sumu ndani.. chukua mo chungwa iweke kwenye chupa ya maji.. funga kesho yake utakuta chupa ya maji imekuwa kama puto
Kuna kipindi niliziona coke ndogo za kopo kwa 500 na zilikuwa zinaenda sana lakini hazikukaa hata mwezi.. inaonekana walikuwa wanajaribu response ya soko na faida watakayoipata..Cocacola wamefurahi sana, hivi vinywaji vilikua vinawakosesha usingizi.
Ni kweli kabisa..kisheria Azam ana chances kubwa ya kushindaMorally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko morality
FactMo ana kiwanda cha sukari? Mo ni mhuni tu kama wahuni wengine wa manzese..
Huyu jamaa siku zake zinahesabika, alikuwa anakibali cha kuangiza sukari kutoka nje anaingiza nchini halafu anaifaulisha kwenye mifuko yenye nembo ya kampuni yake halafu anapiga hela
Azam kasha kuwa mjanja hela zake sasa hivi anazirejesha kwa jamii kwa kutoa ajira na kufungua viwanda huko pwani analima shamba la miwa laana, hadi 2020 anatengeneza humo humo sambani hospital na nyumba za kuishi wafanyakazi wake, zanzibar anajenga kijiji
Jiulize pamoja na mo kufanya biashara kimagumashi hyo hela anaipeleka wapi kama siyo kuzitoroshea nje
Kumbe Mo ana michezo michafuKesi yao Rwanda kuna uwezekano Bakhressa akashinda kwa sababu Azania alikua amejisajili kama Azania Tanzania sio East afrika, ila majaji wakitulia na kuzingatia hawa ni competitors tokea Tanzania inawezekana Azania wakarudishiwa haki ya jina lao.
Toa mifano mkuu!Azam ni muoga anataka anataka Ku monopolize soko kwa njia haramu
Kulikuwa na wakati MO alikuwa anakunywa maji ya Uhai na Kilimanjaro ingawa yeye anatengeneza maji pia.Kuna kipindi niliziona coke ndogo za kopo kwa 500 na zilikuwa zinaenda sana lakini hazikukaa hata mwezi.. inaonekana walikuwa wanajaribu response ya soko na faida watakayoipata..
Tukirudi katika hizi bidhaa za mo soda na malt ..kwa kweli kaliteka soko kupitia ujazo mkubwa na tena kwa bei rahisi lakini ukiangalia ubora ni hafifu ukilinganisha na azam ...
nahisi Azam lazma apate shida maana hawezi kuongeza bei wala ubora ilo kuilinda brand yake...
matunda yamejaa watu wanashindwa kunywa juice harisi wanakimbilia misumu hiyo. baadae sisi tutawasaidia tu wake zao wewe waache, sisi zetu juice za kukamua ,maziwa na madafu majiVinywaji vya Moe havifai aisee hiyo soda hapo pichani nikiwa nipo kwa Mzee siku moja mdogo wangu wa kike aliniletea kama zawadi tu. Ila gesi yake tu ilinishinda