Kupotea sokoni kwa vinywaji vya MO mll 400 nini shida?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Hivi karibuni kulikuwa na vinywaji vya MO mtaani ambavyo vilikuwa vinafanya vizuri sana sokoni kutokana na ujazo wake mkubwa wa ml 400 kwa kila chupa na kwa bei ile ile ya sh 500 kama vinywaji vingine vya backressa na soda

Lakini hivi karibuni nimeahtuka havionekani kabisa madukani na ukiwauliza kila mtu ana jibu lake , je vimefungiwa kwa kukosa ubora au tatizo lipo wapi?

Kama vina tatizo ni heri Tfda watoe taarifa na kama havina tatizo bali ni mambo mengine namshauri MO atupe taarifa sahihi wateja wake ili tujue hivi vinjwaji vinarudi lini sokoni


===========================
 
Ngoja wajuzi waje, nam nasubir majibu, nimestaajabu sana
 
Kwa taarifa ambazo nimezipata
Jamaa kafungiwa alikuwa hatumii sukar ya nchini iliyopendekezwa na mashirika ya ubora nchini, jamaa alikuwa anatumia ile sukali yetu pendwa sukar kidogo tu utamu mwingi, na sukar ya nyumbani alikuwa ananunua then anaiuza nchi nyingine
 
Mo ni mhuni, sijawahi kuona bidhaa ya huyu jamaa yenye ubora unaostahili kutumiwq na binadamu!

Bidhaa Zake nyingi zina ubora wa chini sana!

Hiki kinywaji Ilikuwa janga kubwa kwa wanawake, Ina sukari nyingi na hata km sio mtaalamu wa afya utajua tu kuwa haifai kutumika
 
Kumbee sasa kumfungia si tunakosa kodi maana vile vinywaji vyake vilikuwa vinauzika sana mtaani na kilikuwa ni chanzo cha tra kupiga hela na ajira watu hapo sizipo shakani?

Kama havina ubora ni heri serikali kupitia tfda watoe tamko tu kuwa havifai kwa matumizi ya binadam ili vilivyobakia huku mtaani Tusivitumie
 
Ya kweli hayo mkuu au ni figisu figisu tu[emoji1][emoji1]
 
Azam anacheza michezo ya kijinga sana...

Hata kule Rwanda kuna kesi inaendelea eti kina Azam wamesajili Azania ili mwenzake asilitumie kule.
 
vina sumu ndani.. chukua mo chungwa iweke kwenye chupa ya maji.. funga kesho yake utakuta chupa ya maji imekuwa kama puto
 

Kama alitumia sukari isiyo na ubora ambayo mamlaka husika zimethibitisha kua sio bora kwa afya kwa nn ziendelee kutengenezwa. Afya ni muhimu sana kuliko hayo mapato ya TRA
 
Hakuna figisu gisu mkuu, siku zote nilikuwa najiuliza Ikiwa Hivi vinywaji serikali imeruhusu kweli kuuzwa mitaani, havifai hata kumnywesha mbuzi
[emoji23][emoji23]
 
Kama alitumia sukari isiyo na ubora ambayo mamlaka husika zimethibitisha kua sio bora kwa afya kwa nn ziendelee kutengenezwa. Afya ni muhimu sana kuliko hayo mapato ya TRA
Ni kweli mkuu naungana na wewe
 
Vinywaji vya Moe havifai aisee hiyo soda hapo pichani nikiwa nipo kwa Mzee siku moja mdogo wangu wa kike aliniletea kama zawadi tu. Ila gesi yake tu ilinishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…