Kupotea sokoni kwa vinywaji vya MO mll 400 nini shida?

Morally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko morality
Morally hata coke hawakupaswa kuuza coke-cola kwasababu it is a non food, but legally wako sawa. Biashara haina halali bali ina uhalali.
 
Morally hata coke hawakupaswa kuuza coke-cola kwasababu it is a non food, but legally wako sawa. Biashara haina halali bali ina uhalali.
Kiswahili changu si kikubwa sana kuweza kutenganisha maana ya hayo maneno mawili najua la kwanza ni adjective na pili ni noun
 
Took much sugar anaongeza kizazi cha wenye magonjwa
 
Cocacola wamefurahi sana, hivi vinywaji vilikua vinawakosesha usingizi.
Kuna kipindi niliziona coke ndogo za kopo kwa 500 na zilikuwa zinaenda sana lakini hazikukaa hata mwezi.. inaonekana walikuwa wanajaribu response ya soko na faida watakayoipata..

Tukirudi katika hizi bidhaa za mo soda na malt ..kwa kweli kaliteka soko kupitia ujazo mkubwa na tena kwa bei rahisi lakini ukiangalia ubora ni hafifu ukilinganisha na azam ...

nahisi Azam lazma apate shida maana hawezi kuongeza bei wala ubora ilo kuilinda brand yake...
 
Morally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko morality
Ni kweli kabisa..kisheria Azam ana chances kubwa ya kushinda

Unajua katika ulimwengu wa biashara kuna uchiz mwingi sana ndo maana capitalists huwa hawana morals ukilinganisha na jicho la opportunities...lakini kwetu sisi wajamaa ..morals come first
 
Mi hayo makitu ya mo wala sigusi
 
Fact
 
Binafisi huwa naogopa kuongelea mambo ambayo sina uhakika nayo. Mi naona TFDA ndo wanaweza kutolea ufafanuzi juu ya suala hili.
 
Kesi yao Rwanda kuna uwezekano Bakhressa akashinda kwa sababu Azania alikua amejisajili kama Azania Tanzania sio East afrika, ila majaji wakitulia na kuzingatia hawa ni competitors tokea Tanzania inawezekana Azania wakarudishiwa haki ya jina lao.
Kumbe Mo ana michezo michafu
 
Kulikuwa na wakati MO alikuwa anakunywa maji ya Uhai na Kilimanjaro ingawa yeye anatengeneza maji pia.
 
Vinywaji vya Moe havifai aisee hiyo soda hapo pichani nikiwa nipo kwa Mzee siku moja mdogo wangu wa kike aliniletea kama zawadi tu. Ila gesi yake tu ilinishinda
matunda yamejaa watu wanashindwa kunywa juice harisi wanakimbilia misumu hiyo. baadae sisi tutawasaidia tu wake zao wewe waache, sisi zetu juice za kukamua ,maziwa na madafu maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…