kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
naombeni msaada wana jf, cheti cha mdogo wangu kimepotea na ameishatoa taarifa polisi, nini kinafuata baada ya hapo ili baraza la mitihani waweze kumsaidia. naombeni msaada wenu tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliporipoti na kupewa Report Book pale kituoni aliambiwaje?
Mtazamo wangu kabla wakuu wa jukwaa hawajapita huku ni moja ya kwmb nenda hatua kwa hatua na hata ikiwezekana weka matangazo zile sehemu ambazo una hofu unaweza kuwa nazo kama umeacha na matangazo uweke na nambari zako ya mkononi na bila shaka utapata tu!
wewe ukisha maliza kutoa taarifa .toa taarifa kwa magazeti ya selikali alafu nenda necta watakupatia majibu ya maswali yako,mboana haina shida mkuu nenda tu utasahidiwa