kupotelewa cheti cha form four.

kupotelewa cheti cha form four.

kamsongole

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
111
Reaction score
15
naombeni msaada wana jf, cheti cha mdogo wangu kimepotea na ameishatoa taarifa polisi, nini kinafuata baada ya hapo ili baraza la mitihani waweze kumsaidia. naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Aliporipoti na kupewa Report Book pale kituoni aliambiwaje?

Mtazamo wangu kabla wakuu wa jukwaa hawajapita huku ni moja ya kwmb nenda hatua kwa hatua na hata ikiwezekana weka matangazo zile sehemu ambazo una hofu unaweza kuwa nazo kama umeacha na matangazo uweke na nambari zako ya mkononi na bila shaka utapata tu!
 
Pale polisi alipewa PF 3 na akanitumia mimi nimsaidie, kilipotelea shinyanga ila ni mahali gani sijui ndo maana nahitaji kujua utaratibu mzima nimsaidie.
 
wewe ukisha maliza kutoa taarifa .toa taarifa kwa magazeti ya selikali alafu nenda necta watakupatia majibu ya maswali yako,mboana haina shida mkuu nenda tu utasahidiwa
 
wewe ukisha maliza kutoa taarifa .toa taarifa kwa magazeti ya selikali alafu nenda necta watakupatia majibu ya maswali yako,mboana haina shida mkuu nenda tu utasahidiwa

Nashukuru sana mkuu, hivi magazeti ya serikali ofisi zao ziko wapi? nisaidieni jamani.
 
Find Info On Or More Information, Contact Us On : Tanzania Standard(newspapers) Limited (tsn) Daily News Bldg, Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway P. O. Box 90Find Or More Information, Contact Us On : Tanzania Standard(newspapers) Limited (tsn) Daily News Bldg, Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway P. O. Box 90Find Info, Offers, And More About Or More Information, Contact Us On : Tanzania Standard(newspapers) Limited (tsn) Daily News Bldg, Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway P. O. Box 90
Looking For Or More Information, Contact Us On : Tanzania Standard(newspapers) Limited (tsn) Daily News Bldg, Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway P. O. Box 90Or More Information, Contact Us On : Tanzania Standard(newspapers) Limited (tsn) Daily News Bldg, Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway P. O. Box 90.ComFind Info, News And More About Or More Information, Contact Us On : Tanzania Standard(newspapers) Limited (tsn) Daily News Bldg, Plot No. 11/4 Nelson Mandela Expressway P. O. Box 90
 
Shy sehemu kaka au nipe majina ya hvyo vyeti koz kuna dogo mmoja aliokota vyeti mnamo mwez wa tano mwanzoni kama siku tatu baadae mi nilitoka shy niko mtwara nw ilanawasiliana naye sana 2 aliviokotea majengo mapya
 
Shy sehemu kaka au nipe majina ya hvyo vyeti koz kuna dogo mmoja aliokota vyeti mnamo mwez wa tano mwanzoni kama siku tatu baadae mi nilitoka shy niko mtwara nw ilanawasiliana naye sana 2 aliviokotea majengo mapya pengine ndivyo
 
Back
Top Bottom