wadau kuna ndugu yangu amepoteza vyote vyote viwili vya form four(2002) na form six(2006) na alikua na mpango wa kuomba chuo mwaka huu,vp afanye nini maana amechanganyikiwa?na ukiripoti chuo lazima uende na original vyeti...naombeni mawazo yenu
Aende wizarani kwanza zen ataambiwa cha kufanya. Mara nyingi ikitokea kama ivyo huwa anaambiwa sense ktk while alizisoma alafu apewe barua ya uthibitisho kuwa alisoma pale