Kupoteza fahamu

Kupoteza fahamu

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,036
Reaction score
737
Habari za jioni,mm ninasumbuliwa na tatizo la kuona kitu kinanivaa na wakati nabisha nacho napoteza fahanu na kuanguka kama mzigo,na nikiamka nakuwa sina kumbukumbu yoyote mpk zipite kama dkk 10,nilienda Kairuki hospital nikaambiwa nipime kipimo cha kichwa majibu yakarudi salama sina tatizo,tafadhali nisaidieni nadhalilika nifanyeje?
 
Ndugu yangu kama una imani tafuta kanisa la kiroho na mtumishi ukeombewe. Kama wewe ni muumini wa biblia kuna vifungu vitakusaidia sana. Hayo ni mapepo tu si kitu kingine. Ukienda kwa waganga wanakupa mapepo mengine mia kidogo ya kutuliza munkari tu.
 
Nipo hapa siku ishirini tu nitasafiri kidogo Tarehe mosi lakini ijumaa Kuna kijana wangu wakazi atakuwa Dar atasafiri kuja pemba ijumaa ya tar21/10/2016
 
Ndugu yangu kama una imani tafuta kanisa la kiroho na mtumishi ukeombewe. Kama wewe ni muumini wa biblia kuna vifungu vitakusaidia sana. Hayo ni mapepo tu si kitu kingine. Ukienda kwa waganga wanakupa mapepo mengine mia kidogo ya kutuliza munkari tu.
Asante sana mungu akubariki
 
Back
Top Bottom