MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Habari za jioni,mm ninasumbuliwa na tatizo la kuona kitu kinanivaa na wakati nabisha nacho napoteza fahanu na kuanguka kama mzigo,na nikiamka nakuwa sina kumbukumbu yoyote mpk zipite kama dkk 10,nilienda Kairuki hospital nikaambiwa nipime kipimo cha kichwa majibu yakarudi salama sina tatizo,tafadhali nisaidieni nadhalilika nifanyeje?