MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Ndugu yangu kama una imani tafuta kanisa la kiroho na mtumishi ukeombewe. Kama wewe ni muumini wa biblia kuna vifungu vitakusaidia sana. Hayo ni mapepo tu si kitu kingine. Ukienda kwa waganga wanakupa mapepo mengine mia kidogo ya kutuliza munkari tu.Habari za jioni,mm ninasumbuliwa na tatizo la kuona kitu kinanivaa na wakati nabisha nacho napoteza fahanu na kuanguka kama mzigo,na nikiamka nakuwa sina kumbukumbu yoyote mpk zipite kama dkk 10,nilienda Kairuki hospital nikaambiwa nipime kipimo cha kichwa majibu yakarudi salama sina tatizo,tafadhali nisaidieni nadhalilika nifanyeje?
Ww ni mchungaji?Nipo hapa siku ishirini tu nitasafiri kidogo Tarehe mosi lakini ijumaa Kuna kijana wangu wakazi atakuwa Dar atasafiri kuja pemba ijumaa ya tar21/10/2016
Asante sana mungu akubarikiNdugu yangu kama una imani tafuta kanisa la kiroho na mtumishi ukeombewe. Kama wewe ni muumini wa biblia kuna vifungu vitakusaidia sana. Hayo ni mapepo tu si kitu kingine. Ukienda kwa waganga wanakupa mapepo mengine mia kidogo ya kutuliza munkari tu.