Kupoteza hisia sababu ya over masturbation

Kupoteza hisia sababu ya over masturbation

Corporate G

Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
7
Reaction score
5
Hii ni kwa wanaume...Inawezekana mtu kupoteza hisia na kushindwa kufika kileleni akiwa anafanya mapenzi ? Na kama ni kweli kuna tiba yeyote inayojulikana
 
Mnatumia mkono sana vijana kutwa mara saba unapiga mkono tu ,wakati wadada zetu siku hizi sio wachoyo kabisa,yani mpaka engine inapata moto,ndiyo imeshachemka hapo pambana na hali yako
 
Ww ndo mwenye tatizo au umekuja kumuulizia mwezako.
 
masturbation ni mbaya sana. achana nayo kabisa.
miongoni mwa effects za masturbation ni :-
  • Macho kupoteza nuru ( huoni vizuri )
  • uchofu kila muda
  • Akili inadumaa
  • maumivu kwenye mgongo (kwa chini)
  • hupunguza nguvu za kiume
  • huweza sababisha infertility (kushindwa kuzalisha)
  • unapoteza confidence (hujiamini)
  • kupoteza kumbukumbu
  • afya yako kiujumla inakua hairidhishi
  • husababisha depression (msongo wa mawazo)
zipo hasara nyingi tu, ila kwa leo hizo zinatosha.
say NO to masturbation, live a healthy life.
 
Back
Top Bottom