lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Alikosea sana kuhama upande wa Kiba basi atleast angeingia wasafi sasa kabaki kama popo team wasafi hawamshabikii na team kiba wamemtenga.Huyo Baraka nafikiri akikumbuka ujinga alioufanya anajutia
Bongo Team Mondi na Kiba ndo wanadetermine career yako kuwa up au kugo down... sasa unyumbu wake umemponza kweli kweli
[emoji3][emoji3][emoji3] hapo sasaWewe unaishi wapi lakini hadi usiwasikie Rayvanny na Lavalava au ndo wale washamba ambao mnasikiliza Clouds kutwa nzima?
Huyu Nyumbu si ndio alibadili dini yake?Huyo Baraka nafikiri akikumbuka ujinga alioufanya anajutia
Bongo Team Mondi na Kiba ndo wanadetermine career yako kuwa up au kugo down... sasa unyumbu wake umemponza kweli kweli
Huyu Nyumbu si ndio alibadili dini yake?
Lipuuzi kweliHili jitu jinga sana limepoteza demu limechange dini limepoteza mashabiki... yupo yupo tu
Inasumbua wapi mkuu, sasa hivi ni Mensen Selekta na Kinanda yake!Mbona chombo inasumbua?
Wamebaki wana unga unga mistari na kurudia rudia tu.Wewe unaishi wapi lakini hadi usiwasikie Rayvanny na Lavalava au ndo wale washamba ambao mnasikiliza Clouds kutwa nzima?
Baraka alijipoteza mwenyewe...nidhamu hana ndo tatizo!!Yako wapi hayo majivuno saizi[emoji23][emoji23] mziki umemshinda na kaachwa na demu!!
Elimu na kujiheshimu na kuheshimu wanachofanya ni kitu muhimu na adimu sana ambacho wasanii wa sasa hivi hawana..
Wakati Diamond anafanya upuuzi mitandaoni Kanye West anazuia porn ya mke wake isije kuwa story watoto wake wakikua... Mziki umekuwa kiki bila kiki au team hutoboi
Edu Boy alishasema kinachomponza Baraka ni nidhamu na kweli tumeona...Baraka alijipoteza mwenyewe...nidhamu hana ndo tatizo!!
Maana alikuwa anaenda vizuri..baada ya Nisamehe ilibidi apige hatua mbele zaidi, yeye akaleta jeuri na team kiba wote wakamjengea beaf...
Baraka bado ni msanii mzuri...ana ngoma zake kama Mawazo na Tokota ni kali sana, angekuwa bado rockstar hakika angesumbua sana...
Ona sasa hata show za fiesta hapati...kabaki kuimbiana na Naj chumbani!!
Majuzi kaandika post ndefu ya kuomba watu msamaha lakini hakuna aliyemchukulia serious!