Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Hi wanajukwaa
Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo.
Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona naboeka tu,manake hata ulabu sipigi,nikawaaga nikarud hotel.
Kufika room nikawatch movie moja then ,nikapray na kulala kwenye saa 5,usiku.
Imefika saa 6 usiku usingiz umekata,na sijasleep tena hadi mida hii,nje ya hotel nasikia mziki mnene ,manake iko jiran na viwanja.Nataman kutoka niende Ila Sina vibe kabisa,tofauti na zamani,ilikuwa nikifika mji mkubwa ni kukesha club,nowdays ikifika saa 2,niko ndani,nikizidisha hapo naboreka na kuwa siko comfortable.Yani sifurahii kukaa sehemu za starehe kama zamani.
Sijui ni majukumu ama kitu gani,yaani nowdays sina furaha nikienda sehemu za starehe,hata niwe na hela kiasi gani,huwa naspend kiasi kidogo tu na sikai muda mrefu sehemu hizo,huwa naondoka mapema.Na usingizi huwa napata kwa muda mfupi Sana,haizid masaa mawil ama matatu per night.
Je hii ni kawaida ama nina tatizo?