Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Hakuna ushahidi kama kuna mtu kapoteza nyeti zake.Waathirika wasibezwe
Alienzisha hiyo drama anajua mioyo ya watu ilivyojaa ushirikina tu!kukosea elimu ni janga
mwafrica sjui atabadilika lini
True kuna wajinga wengi, wengine viongozi.Kuwapoteza watu kifikra ❌
Kuwapoteza wajinga kifikra✅
Ni kweli kabisa.Idadi kubwa ya Watanzania wamekosa Elimu bora utotoni haya ndio madhara yake huu ujinga hauwezi kuwapelekea Zimbabwe wakakuelewa..