Kupulizia dawa vyumbani, TFF wako wapi

Kupulizia dawa vyumbani, TFF wako wapi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ni takribani timu nne mfuluzo zimeituhumu klabu ya tanzania kufanya huu mchezo ukiachana na kutumia mbinu za mabasi mabovu yenye harufu na uchawi kama ule wa kumwagia vimiminika sehemu ya mlango wa basi ikiambatana na kumpitisha njiwa chini ya basi pindi wachezaji wa nje wanapokwenda kufanya mazoezi, achilia mbali kero za makomandoo wa hii klabu kuzuia makocha kama kina zahera kukutana na wachezaji wao wa timu wanakotokea

FAIR PLAY
 
Pambaneni na hali zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So nini kifanyeke? Na ww unaamin hayo yanafanyika? nakama yanafanyika ushaid uko wap?

💪⚽ simba kesho ushind kama kawa
 
Mimi ni Yanga damu,nafurahi sana nikiona wageni wakilalamikia figisu hizi,kama shabiki wa soka,utakuwa na kumbukumbu ya matukio kadha wa kadha timu zetu zilikuwa zikifanyiwa ughaibuni,wakati huo sisi tukiwakarimu vizuri na kudumisha upendo na mshikamano,tumegharamika sana na uzwazwa huu wa ukarimu wa upande mmoja.
#Now ni zamu yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...makomandoo wa hii klabu kuzuia makocha kama kina zahera kukutana na wachezaji wao wa timu wanakotokea
Huyo Zahera kama anataka akutane na wachezaji wake wa zamani, kwa nini asiende hotelini? Acha ujinga, mapovu tu ya kutoka sare na Ndanda
 
Hakuna ulozi kwenye mpira ila figisu lazima ziwepo Tanzania ndiyo maana timu zetu zilikuwa zinafungwa nje ndani yani tunajifanya waungwana sana timu uipakie kwenye luxury bus ikakae hotel ya nyota tatu kwanini isikufunge?

Timu kama mazembe figisu lao limeanzia uwanja wa JKNIA tumesema hatuna ratiba ya kupokea ndege toka congo mkashukie mbeya na wamekuja hapa tunawapa kakosta wabanane humo, bahati mbaya tu hatujawatafutia hotel Magomeni mbona wangesimlia
 
Huyo Zahera kama anataka akutane na wachezaji wake wa zamani, kwa nini asiende hotelini? Acha ujinga, mapovu tu ya kutoka sare na Ndanda
analofikiria mjinga ndilo analo type, kuna athari ipi zahera akikutana na wachezaji wa kongo uwanjani mazoezini??????
 
Wivu ni ugonjwa mbaya Sana,kwanini mnateseka?
 
Ni takribani timu nne mfuluzo zimeituhumu klabu ya tanzania kufanya huu mchezo ukiachana na kutumia mbinu za mabasi mabovu yenye harufu na uchawi kama ule wa kumwagia vimiminika sehemu ya mlango wa basi ikiambatana na kumpitisha njiwa chini ya basi pindi wachezaji wa nje wanapokwenda kufanya mazoezi, achilia mbali kero za makomandoo wa hii klabu kuzuia makocha kama kina zahera kukutana na wachezaji wao wa timu wanakotokea

FAIR PLAY
Kumbe una njaa ...nilidhani unaleta kitu Konki kumbe daaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho inakuuma mpaka unatamani kunywa sumu!! Utateseka sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom