2013 anyway, ngoja nikujibu kama ifuatavyo:
Pepo ni
demon, spirit
Punga =
exorcize.
Exorcist kwa kiswahili anaitwa Mpungaji pepo
Kwa hiyo
kupunga pepo ni kutoa demons/spirit (mapepo) sasa kiswahili sijui utaitaje kama ni
Majini au Mashetani kazi kwako