Kupunga pepo

Kupunga pepo

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
Wanajamvi ningeomba maana ama tafsiri sahihi ya neno - "kupunga pepo'',
 
2013 ...Hebu fafanua kidogo hapa ili uweze kusaidiwa/kujibiwa vizuri.

Ni Kupunga upepo au Kupunga Pepo (Kutoa pepo / mapepo)?
 
Last edited by a moderator:
wanajamvi ningeomba maana ama tafsiri sahihi ya neno - "kupunga pepo'',

2013 anyway, ngoja nikujibu kama ifuatavyo:

Pepo ni demon, spirit
Punga = exorcize.

Exorcist kwa kiswahili anaitwa Mpungaji pepo
Kwa hiyo kupunga pepo ni kutoa demons/spirit (mapepo) sasa kiswahili sijui utaitaje kama ni Majini au Mashetani kazi kwako
 
perfect, pokea like hapa hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom