Kiwango cha kawaida cha mtoto kucheza tumboni (quickening) hutakiwa kucheza mapigo 90 katika masaa 12 katika wiki 32 au walau mtoto apate mienendo 50 inayotambulika kwa muda maalum.
Kupungua kwa harakati za mtoto huhusishwa katika kesi nyingi za kifo cha mtoto kutokana na viwango vya chini vya oksijeni (hypoxia). Kwa hivyo kupungua kwa harakati za mtoto tumboni huhitajia uchunguzi zaidi.