Kupungua quality ya picha dstv nini tatizo

Kupungua quality ya picha dstv nini tatizo

Vicenza

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2019
Posts
1,020
Reaction score
1,515
Jana nimegundua quality ya tv imekuwa chini sana nikiwa nachek tbc na itv ,startv,sio kawaida nikajua labda ni tv yangu inashida,nikaona ngoja niende Kwa jiran kuangalia Ili nipate uhakika,nikabaini kumbe tatizo lipo pia Kwa jiran ,ila ukiingia Youtube quality IPO vizuri sana,na wote tunatumia tv 43" smart full hd.

Je umekutana na ilo tatizo.?
 
Shida sio dstv, shida ni hayo ma tv ya kibongo mikamera yao ina quality mbovu, hata ukiyaangalia kwenye azam au star times yapo hivyo hivyo, kama itv hata msoma habar humuoni vizur
 
Startv ndio mbaya zaidi...
Hizi tv station za kibongo wanatumia camera ya mwaka 2005
 
Mrejesho,Sasa Nime lipia dstv poa nimepata quality nzuri,
 
Back
Top Bottom