youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Acha puli na wanawake wazee hasa mabaa meid. Tafuta nyumba ndogo ya kingoni utaona mabadiliko.
Mkuu puli sipigi afu mi sinywi hao baamedi nitawapata wapi mkuu
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:Ndugu zangu kadri miaka inavyo zidi kusogea nahisi
Kupungukiwa na nguvu za kiume. Nifanyenini ili niwezekuwa imara kama mwanzoni?
Mkuu HARUFU Vipi hali yako ndugu?
Waone wamasai wakupe KILORITIHuku Arusha hamna mpweza mkuu
Acha puli na wanawake wazee hasa mabaa meid. Tafuta nyumba ndogo ya kingoni utaona mabadiliko.
Gonga cha Ar vp heroo!!
Mzima wa afya nashukuru sanaZipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono.
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
Ukitaka dawa za kuongeza nguvu za kiume bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Mkuu HARUFU Vipi hali yako ndugu?