Nimemuuliza jamaa yangu tuliyesoma nae yeye alikuwa bingwa wa kikariri hivyo alisoma science ya bongo.
Ni vipi nitapunguza chumvi chumvi kwenye kisima changu kaniambia nunua chumvi ya mawe kama kilo tatu halafu kamwage kwenye hicho kisima,kisha anakata simu! Sasa nimempigia saana ilianifafanulie lakini hapokei....baadae ,Kanitumia sms hii:
"NaCl + H2O -NaoH+HCl.
Then NaCl will dissolve.
Endelea kuleta dharau na sayansi ya bongo"
Sasa nimekoma kuwa na mizaha nae yaani sikuelewa kitu. Jamii ya wanasayansi nawaombeni radhi naombeni ufafanuzi.
Pia nawaomba wenye ujuzi wa hili wanisaidie