Kupunguza/kukata tumbo

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
za leo wana jamvi naomba kufahamu je, kuna madhara yyte kwa mdada ambae hajazaa kufanya mazoezi ya kukata/kupunguza tu,tumbo?
 
za leo wana jamvi naomba kufahamu je, kuna madhara yyte kwa mdada ambae hajazaa kufanya mazoezi ya kukata/kupunguza tu,tumbo?

Ni mazoezi gani umeambiwa yanapunguza tumbo?
 
Hakuna madhara yoyote we punguza tu ili uwe na mvuto............................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…