Kupunguza kuzeeka na kuwa na ngozi laini na changa

Walio na umri wa miaka 35 na kuendelea na anautayar wa kugharamikia ngoz yake kwa 240,000 anitafte nimpe set ya ecollagen, ni uhakika.. Ila usiwe na chunusi.. Kma unachunusi inabid kushughulikia hizo kwanza
Natamani ila parefuuuu uwiiii mie niko soft ila sing'ai
 
Walio na umri wa miaka 35 na kuendelea na anautayar wa kugharamikia ngoz yake kwa 240,000 anitafte nimpe set ya ecollagen, ni uhakika.. Ila usiwe na chunusi.. Kma unachunusi inabid kushughulikia hizo kwanza
Niko under 35 sina chunusi weupe wangu wa kawaida ila sin'gai weupe wa mwili na wausoni ni tofauti naomba ushauri nitumie nini? Nin'gae sio kujichubua kwa sasa sina mafuta maalum wakati mwingine sipaki kabisa
 
Ngozi yangu ya uso ni ya mafuta na kavu,na ni sensitive , nina miaka 47 . Nipake vipodozi gani? Nisaidie.
 
Jamani chunusi zinanisumbua usoni na mabegani na kifuani.zikipona zinabakiza vimadoa doa vyeusi.nitumie nini kuondoa?
natumia miracle medical soap na lotion yake..ni salama?ngozi yangu ni ya mafuta
 
Sabuni zisizo salama zitakuletea matatizo mengine. Nakushauri wasiliana nasi kupitia 0659528724 au 0784082847 kwa ushauri wa kitaalam na kuondoa makovu na madoa yote. Karibu sana
 
Vp kuhusu fair and white brightening cream? Inamadhara?
 
Ngozi yangu ni ya mafuta,ni mweupe ila usoni si mweupe kama mwilini,sielewi nitumie lotion au creme gani ili inisaidie niwe kawaida,sasa hivi natumia orangevate gel nachanganya na coco pulp,nikiacha naharibika uso, naomba ushauri Niko arusha
Tumia lotion ya rapid clair usichanganye na kitu chochote paka yenyewe.
 
Niko under 35 sina chunusi weupe wangu wa kawaida ila sin'gai weupe wa mwili na wausoni ni tofauti naomba ushauri nitumie nini? Nin'gae sio kujichubua kwa sasa sina mafuta maalum wakati mwingine sipaki kabisa
Tumia rinju kopo la brown
 
Jamani chunusi zinanisumbua usoni na mabegani na kifuani.zikipona zinabakiza vimadoa doa vyeusi.nitumie nini kuondoa?
natumia miracle medical soap na lotion yake..ni salama?ngozi yangu ni ya mafuta
Tumia ingrams comphor cream ya kwenye kopo la kijani na sabuni ya peary
 
Em tutajie Anti-aging creams nzuri, uzee ukianza tu nihamie huko
kwanini utumie makemikali?.
Tumia coconut virgin oil,ngozi yako itakuwa laini na nyororo.

Halafu ule sana mbogamboga kama mgagani,mchicha etc.
Na maji kwa wingi
 
Em tutajie Anti-aging creams nzuri, uzee ukianza tu nihamie huko
kwanini utumie makemikali?.
Tumia coconut virgin oil,ngozi yako itakuwa laini na nyororo.

Halafu ule sana mbogamboga kama mgagani,mchicha etc.
Na maji kwa wingi
 
Niko under 35 sina chunusi weupe wangu wa kawaida ila sin'gai weupe wa mwili na wausoni ni tofauti naomba ushauri nitumie nini? Nin'gae sio kujichubua kwa sasa sina mafuta maalum wakati mwingine sipaki kabisa
Fanya haya ili uing'arishe ngozi ya uso wako
1:Jitahidi kunywa maji mengi kadri uezavyo,hii itaifanya ngozi ya uso wako iwe na unyevunyevu

2:tumia pamba chovya kwenye juis ya karoti af jipakae usoni then baada ya dakika 10 jifute

3:tumia kipande cha papai changanya na unga wa ngano af jipake usoni kaa nayo kama 15 minutes then jifute au kula mapapai mara kwa mara

4:saga parachichi then jipake kaa nayo kidogo af jifute

5: tumia utomvu wa aloe vera kwa kujipaka sehemu iliyoathirika
Fanya haya kwa majuma kama mawili tu ngozi yako itakuwa ipo katika hali nzuri

Niko under 35 sina chunusi weupe wangu wa kawaida ila sin'gai weupe wa mwili na wausoni ni tofauti naomba ushauri nitumie nini? Nin'gae sio kujichubua kwa sasa sina mafuta maalum wakati mwingine sipaki kabisa
 
kwanini utumie makemikali?.
Tumia coconut virgin oil,ngozi yako itakuwa laini na nyororo.

Halafu ule sana mbogamboga kama mgagani,mchicha etc.
Na maji kwa wingi
Mkuu hizo habari za maji tunakunywa sana ila vipodozi muhimuuu
 
fair & white je ile ya so white
 
kwanini utumie makemikali?.
Tumia coconut virgin oil,ngozi yako itakuwa laini na nyororo.

Halafu ule sana mbogamboga kama mgagani,mchicha etc.
Na maji kwa wingi

Mtu mwenye ngozi ya mafuta anaweza kutumia coconut virgin oil?
 
kwanini utumie makemikali?.
Tumia coconut virgin oil,ngozi yako itakuwa laini na nyororo.

Halafu ule sana mbogamboga kama mgagani,mchicha etc.
Na maji kwa wingi
Pia mbogamboga kama karoti, matango, tikiti na parachichi zina hizo vitamini zote zinazoweza kusaidia ngozi, ni vizuri ukatengeneza juice recipe ya vitu hivyo ukawa unakunywa kila siku, gharama za hayo malotion ni kubwa ukilinganisha na hayo matunda, pia ni salama sana kwani hakuna chemical zilizoongezwa. kwa ujumla kuna vitu vingi sana vya asili vitakavyokufanya uwe forever young and glowing, tuache uvivu wa kula matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…