chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Kwa wenye taarifa kuhusu hili watujuze, vipi TRA wamesha anza kutumia sheria hii kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha? Mwenye kujua naomba anijuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tayari mkuu,tumeshaonja machungu yake
ingia kwenye web ya tra angalia calculator ya magari new version 19 ni balaaaaa
tangu tarehe 1 july ndo mwaka wa fedha unaanza.... tayari wananchi wenzio tushalia, kigari changu kimenasia apo, kodi karibia mara mbili ya kununulia gari japan. Kuna gari nimeagiza mpya kiwandani ni dola 28,000 lakini TRA wameandika dola 42,000 na pointi...ni shida!!
hawa jamaa wa TRA ni watu wa ajabu sana na wameshindwa kumpa unafuu mwananchi wa kawaida tu anayetaka kujikwamua na adha za usafiri,sijui source ya RSP wanaitoa wapi wakati saa nyingine hata bei ya kiwandani ni chini ya wanaokulazimisha wewe kulipia,utakuta gari CIF hadi dar ni $1200(Shs.2,120,000/=) utashangaa ukijumlisha na gharama za kulitoa bandari utaambiwa Mil 6.6,hivii hapo Serikali kuipitia TRA ina nia kweli ya kuwainua au kuwakandamiza wananchi weke??