aida sanga
Member
- Jun 3, 2016
- 63
- 21
Oa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu
Wakubwa hili jukwaaa si kuleta kebehi.Kakope benk halafu pesa yote kula staree
UNAPUNGUA MPAKA MASIKIOMaji moto na limao au ndimu kila siku
me ni mwanamkeOa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shabikia Simba sports club, tumbo lako litapungua baada ya siku 7
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa
naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo?
Karibuni!!!!
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa
naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo?
Karibuni!!!!