Kupunguza tumbo

Kupunguza tumbo

aida sanga

Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
63
Reaction score
21
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa

naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo?

Karibuni!!!!
 
Waone wataalam wa mazoezi, nisije kukupa mizoez hapa, mshono ukatatuka
 
Shabikia Simba sports club, tumbo lako litapungua baada ya siku 7
 
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa

naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo?

Karibuni!!!!

Kuna wale wanaofunga kanga tumboni na kukaza kiasi naona wengi imewasaidia..jaribu
 
Back
Top Bottom