shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
kuna mkanda ambayo ni mzuri kabisa kwa kutumia ndan ya wiki moja tu unapunguza pia ni nzur kwa afya yako kwani unapungza choresteral na kufanya massagr ya viungo vyote vya mwili
Mwanangu aminia maji ya moto/vuguvugu kla asubuh ukiamka kwa bed
Wana Jf habari za mchana...
Kutokana kukaa sana ofisini nimekua mvivu na nakosa mdaa wa mazoezi...kitambi kimechomoza na knatia aibu, naomba dawa mbadala ila yenye garantie kupunguza kitambi...shukran
Mi nataka nishauriwe nile nini nipaye kitambi....