Kupunguza unene/ kitambi

Kupunguza unene/ kitambi

shegacool2015

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
394
Reaction score
133
Wana Jf habari za mchana...
Kutokana kukaa sana ofisini nimekua mvivu na nakosa mdaa wa mazoezi...kitambi kimechomoza na knatia aibu, naomba dawa mbadala ila yenye garantie kupunguza kitambi...shukran
 
kuna mkanda ambayo ni mzuri kabisa kwa kutumia ndan ya wiki moja tu unapunguza pia ni nzur kwa afya yako kwani unapungza choresteral na kufanya massagr ya viungo vyote vya mwili
 
kuna mkanda ambayo ni mzuri kabisa kwa kutumia ndan ya wiki moja tu unapunguza pia ni nzur kwa afya yako kwani unapungza choresteral na kufanya massagr ya viungo vyote vya mwili

Wapi ntapata? Bei gani? Asante
 
-Maji ya vugu vugu asubuhi +kamulia kipande cha limao

-Jitahidi kufanya mazoezi kila asbh,kama unabanwa na muda fanya angalau ya tumbo tu.

-Punguza kula vyakula vyenye mafuta ya kuganda(yenye cholestral)
 
Wana Jf habari za mchana...
Kutokana kukaa sana ofisini nimekua mvivu na nakosa mdaa wa mazoezi...kitambi kimechomoza na knatia aibu, naomba dawa mbadala ila yenye garantie kupunguza kitambi...shukran

Mazoezi ya alfajiri na kujicontrol kwenye misosi na vinywaji ndio dawa pekee ya asili na isiyo na madhara hata chembe

Chengine chochote nje ya hayo ni biashara na ujasiriamali tuuu
 
Asubuhi baada ya mazoezi pata pata chakula/breakfast bomba so lazima ushibe, mchana kula chochote cha kushibisha jioni/ usiku kula kidogo
Kumbuka kuepuka vitu vya mafuta mengi, sukari na vitu vya baridi, jitahidi kula chochote cha asili ukijiepusha sana na vyakula vya viwandani/supermarket

Majimoto na matunda kwa wingi vifanye sehemu yako muhimu ya kila wakati
 
Mi nataka nishauriwe nile nini nipaye kitambi....
 
mshukuru mungu kwa kila jambo juu ya mkanda sikushaur san hugawa tumbo na kuwa na shepu mbaya sana muhim jitahid hata nusu saa tu fanya zoez la tumbo asubh baada ya hapo maji vug vug na limao punguz vyakula vya mafuta"usishinde na njaa mda mrefu ni tatizo" mvumiliv hula mbivu na hii siyo ndani ya wiki tumbo limepungua hapana itachukua muda lakin tumbo litapungua
 
Back
Top Bottom