Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
BMI ni Body Mass Index (uwiano wa urefu wa mwili na uzito) kuna formula yake ila mie nimeisahau tu. Inabidi upime uzito wako na urefu then uzito wako unagawanya kwa uzito kama sokosei. Ila hivyo uzito sijui unatakiwa kuwa kwenye unit gani na sio meter
Body Mass Index au Body Weight Index? Chukua urefu wako in metres then square it...baada ya hapo chukua weight yako gawanya kwa ile square ya height yako.
Mfano: Weight is 73kg and height is 171cm which is 1.71m.
Square of 1.71 is 2.9241
Then weight/square of height=73/2.9241=24.9649
Hence your body weight index is 24.96 rounding up to 25.
Advice: Go to the nearest nutritionist for elaboration before you take any further step.