Bosss,fuatilia maelekezo ya janabi,kwa kutumia dawa nahofia kuwa utakuwa unaingiza mwilini chemical nyingiHabari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa
Umri: 25
Uzito wa Sasa: 100 kg
Lengo: Kupunguza kilo 10-15 kwa mwezi mmoja.
Sina unene kupita kiasi, lakini nina mwili mkubwa na kitambi kidogo.
Ninaweza kukimbia na kufanya kila kitu kwa ufasaha kabisa lakini nina minyama nyama kwenye kifua imeshuka ndo kinachonikela zaidi
Nina nia ya kupunguza uzito kwa njia yoyote isio na madhara. Naomba ushauri wenu kuhusu dawa gani nzuri naweza kutumia ikafanikisha lengo langu
Asante
"Je unajua madhara ya njia za mkato katika kutafuta kupunguza unene wa mwili wako? - BBC News Swahili" Je unajua madhara ya njia za mkato katika kutafuta kupunguza unene wa mwili wako? - BBC News SwahiliHabari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa
Umri: 25
Uzito wa Sasa: 100 kg
Lengo: Kupunguza kilo 10-15 kwa mwezi mmoja.
Sina unene kupita kiasi, lakini nina mwili mkubwa na kitambi kidogo.
Ninaweza kukimbia na kufanya kila kitu kwa ufasaha kabisa lakini nina minyama nyama kwenye kifua imeshuka ndo kinachonikela zaidi
Nina nia ya kupunguza uzito kwa njia yoyote isio na madhara. Naomba ushauri wenu kuhusu dawa gani nzuri naweza kutumia ikafanikisha lengo langu
Asante
Kula mlo mmoja kwa siku utapu gua fasta tuuHabari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa
Umri: 25
Uzito wa Sasa: 100 kg
Lengo: Kupunguza kilo 10-15 kwa mwezi mmoja.
Sina unene kupita kiasi, lakini nina mwili mkubwa na kitambi kidogo.
Ninaweza kukimbia na kufanya kila kitu kwa ufasaha kabisa lakini nina minyama nyama kwenye kifua imeshuka ndo kinachonikela zaidi
Nina nia ya kupunguza uzito kwa njia yoyote isio na madhara. Naomba ushauri wenu kuhusu dawa gani nzuri naweza kutumia ikafanikisha lengo langu
Asante
Ila mwanzoni wese linatoka fasta tuu maama mwili wenyewe naturally unataka kutoa excess fatEndelea na mazoezi ila punguza kiwango cha chakula cha wanga , pia kunywa maji mengi fanya hivi kwa miezi sita bila kujitazamatazama umefikia wapi🤔
Note: kupunguza uzito kwa kiwango kikubwa kwa haraka sio nzuri kiafya.
Kunywa Kila asubuhiMpangilio upoje
Kunywa maji ya vuguvugu mengi kabla ya kula, tumbo litajaa maji hivyo hata kiwango cha chakula utakula kidogo tu.Mpangilio upoje
Ah kabisa mwanawane...wee gonga lunch yako saa 7 mchana. Saa 1 usiku gonga mchangabyiko wa matunda yale ya buku mbili. Alafu tembea 1 hour mara 5 kwa wiki.Kweli ?
Kabisa mkuu mafuta mengi mwilini ni mabaya mno , na huu mtindo wa kisafari kidgo tu bodaboda sasa ni janga la taifa.Ila mwanzoni wese linatoka fasta tuu maama mwili wenyewe naturally unataka kutoa excess fat
Tena janga kubwa sana. Nimekuja kugubdua sehe u ya boda buku myu unaweza tembea bizuri sana.Kabisa mkuu mafuta mengi mwilini ni mabaya mno , na huu mtindo wa kisafari kidgo tu bodaboda sasa ni janga la taifa.
Nakuunga mkono mkuu,hamna namna zaidi ya kupunguza,wanga ,sukari na red meatAchana na dawa, fanya chakula ndio tiba yako.
Epuka wanga kabisaaa, miwali, ugali, mingano mgano, epuka misoda soda na vyakula vyenye sukari ya kiwandani.
Kunywa maji kwa wingi, matikiti..
Asubuhi ukiamka unapiga supu yako ya samaki na vikabichi, mchana, ukila apple zako kadhaa, usiku unakatakata tikiti, parachichi na mboga za majani, maji kwa wingi.
Wiki 1 tu unapunguza kilo za kutosha. Tena ukiwa na nafasi ya kufanya mazoezi ndio kabisaa, wiki tu mabadiliko ya kilo utayaona, mwezi utaona mwili wenyewe unapungua.
Mwaka wa kuwa na mihela kama jambazi, nawaza kuanzisha clinic, hapo unaishi na watu wenye matatizo hayo, elimu ya tiba lishe inatolewa, kula yao inaenda kwa vitendo, na mazoezi juu.
Hana madeni huyu itakuwa. Hawezi kupunguaEndelea na mazoezi ila punguza kiwango cha chakula cha wanga , pia kunywa maji mengi fanya hivi kwa miezi sita bila kujitazamatazama umefikia wapi🤔
Note: kupunguza uzito kwa kiwango kikubwa kwa haraka sio nzuri kiafya.
Hii uhakika kabisa akipiga mlo mmoja wiki moja tu, nguo zinapwelepwetaKula mlo mmoja kwa siku utapu gua fasta tuu