Kuna mtu kanishauri kuwa naweza kupunguza uzito kwa kutumia pombe kali e.g. Gordons, na kwamba unakunywa kiasi kidogo kila siku kabla hujala, je kuna ukweli wowote katika hili?
Mh utaalam huo alisomea wapi? Migongo hiyo utakufa. Kama unashamba Lima sana na kula kidogo, fanya kazi sana na kula kidogo but balanced diet halafu utaniambia. Mimi nilisomea hapahapa Tz