Kupunguza uzito kwa pombe kali

Kupunguza uzito kwa pombe kali

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Kuna mtu kanishauri kuwa naweza kupunguza uzito kwa kutumia pombe kali e.g. Gordons, na kwamba unakunywa kiasi kidogo kila siku kabla hujala, je kuna ukweli wowote katika hili?
 
Mh utaalam huo alisomea wapi? Migongo hiyo utakufa. Kama unashamba Lima sana na kula kidogo, fanya kazi sana na kula kidogo but balanced diet halafu utaniambia. Mimi nilisomea hapahapa Tz
 
Kuna mtu kanishauri kuwa naweza kupunguza uzito kwa kutumia pombe kali e.g. Gordons, na kwamba unakunywa kiasi kidogo kila siku kabla hujala, je kuna ukweli wowote katika hili?

fanya mazoezi bwana na kuzingatia proper diet based on vegs,matunda na white meat esp samaki.Achana na hizo pombez
 
Kuna ukweli kiasi fulani. Naona wanywa gongo wengi hupungua sana uzito na kupandisha mabega.
 
Back
Top Bottom