Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa.
Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa wachezaji wa Kigeni kama ilivyo Algeria ili kuwapatia wazawa nafasi zaidi ya kuwa bora na hatimaye kupata Taifa Stars mahiri.
Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa wachezaji wa Kigeni kama ilivyo Algeria ili kuwapatia wazawa nafasi zaidi ya kuwa bora na hatimaye kupata Taifa Stars mahiri.