Siyo kweli, tunawahitaji wachezaji wa kigeni kwasababu kuu mbili 1. Wanauwezo kuliko wazawa, (,individual skills). 2. Kwaajili ya kubadilishana uzoefu, (sharing experience)Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa.
Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa wachezaji wa Kigeni kama ilivyo Algeria ili kuwapatia wazawa nafasi zaidi ya kuwa bora na hatimaye kupata Taifa Stars mahiri.
Kama umewahi kupeleka watoto wake kwenye sports events let's say wake kwenye track and field wanashindana mbio ukaona mwanao yuko nyuma si unampa morari 'kimbia,ongeza mbio' au si hivyo? The issue is wachezaji wetu wapambane wafikie viwango vya ku-compete na hao wageni kupambania namba na ndiyo itakuwa inawakuza viwango.Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa.
Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa wachezaji wa Kigeni kama ilivyo Algeria ili kuwapatia wazawa nafasi zaidi ya kuwa bora na hatimaye kupata Taifa Stars mahiri.
Miaka kibao Simba na Yanga zilikua na rundo la wachezaji wazawa waliisaidia vipi taifa stars???Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa.
Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa wachezaji wa Kigeni kama ilivyo Algeria ili kuwapatia wazawa nafasi zaidi ya kuwa bora na hatimaye kupata Taifa Stars mahiri.