jeremiamnzava
Member
- Jul 10, 2024
- 12
- 20
- Thread starter
-
- #41
Shukran kwa elimu hii, naomba kuuliza sheria inasemaje muda wa kupeleka shauri CMA, maana tangia nipewe notice of termination ni siku 20 sasa zimepita, zimebaki siku 9 ambazo naendelea kufanya kazi kama notice inavyosema kwahyo muda wa kwenda CMA unakuwa mgumu.kiujumla,mkataba wa Ajira ya Kudumu huwa haufanyiwi renewal after its expiration sababu huo ni permanent(no-life span except upon death or other incident thereto partnering to termination),hivyo basi kwa mazingira hayo ni ngumu kubaini aina ya mkataba husika,ila siyo tatizo sana cha muhimu ni kijikita katika TATIZO tu ambalo ni kutokufuatwa kwa taratibu za kupunguza wafanyakazi.
Hili jambo kwangu naona ni geni sana na kama nilivyoeleza awali permanent contract are not subject to renewal as they are permanent(infinite period)
unaweza kurejelea majadiliano na michango ya awali iliyotolewa katika Uzi wako na kuufanyia kazi juu ya taratibu za kufuata,pia tafuta Mwanasheria/Wakili atakusaidia kukuongoza vyema.kila la kheri
Je nikisubiria mpaka siku ya mwisho ya notice kuisha nitakosa haki yangu. Ni upi muda wa kureport CMA kisheria?