JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Kama umepewa notice ya mwezi, hiyo ni sawa tu, ushauri wangu usijaribu kufungua kesi kushitaki kampuni(kwa hapa bongo,)Habari wadau,
Ninafanya kazi shirika fulani tukapewa likizo ya siku 28, siku ya moja kabla ya kurudi kazini nikapewa notice of termination ya siku 30, ikieleza shirika husika linapitia financial difficult na wanafanya wanafanya collaboration na shirika lingine.
Kwa hiyo nitafanya kazi kipindi cha notice.
Ila mimi nimestukizwa na sikupewa notice of intentions of retrenchment, wala hakukuwa na consultation, sikuitwa wala hatukujadili chochote zaid ya kapewa tu notice of termination.
Naomba msaada wenu kisheria imekaaje hapo au haki yangu ni ipi?
Mifano ya case zilizofanyika zitasaidia pia.
Utapoteza muda na pesa,
Muulize HR, mafao yako mengine,pili cheki kama walikuwa wanapereka michango hifadhi ya jamii