Kupunguza wafanyakazi kwa kutoa notice of termination ya siku 30 lakini hakukuwepo na consultation wala notice for intention of retrenchment

Habari wadau,

Ninafanya kazi shirika fulani tukapewa likizo ya siku 28, siku ya moja kabla ya kurudi kazini nikapewa notice of termination ya siku 30, ikieleza shirika husika linapitia financial difficult na wanafanya wanafanya collaboration na shirika lingine.

Kwa hiyo nitafanya kazi kipindi cha notice.

Ila mimi nimestukizwa na sikupewa notice of intentions of retrenchment, wala hakukuwa na consultation, sikuitwa wala hatukujadili chochote zaid ya kapewa tu notice of termination.

Naomba msaada wenu kisheria imekaaje hapo au haki yangu ni ipi?

Mifano ya case zilizofanyika zitasaidia pia.
Kama umepewa notice ya mwezi, hiyo ni sawa tu, ushauri wangu usijaribu kufungua kesi kushitaki kampuni(kwa hapa bongo,)
Utapoteza muda na pesa,
Muulize HR, mafao yako mengine,pili cheki kama walikuwa wanapereka michango hifadhi ya jamii
 
Pole Sana,ila kuna hatua za kufuata pale ambapo mwajiri anataka kupunguza wafanyakazi/retrenchment na hiyo notice uliyopewa ni suala LA mwisho kabisa baada ya mchakato wote wa kupunguza wafanyakazi.
1: Una aina gani ya Mkataba wa Kazi/Ajira
2: Je,ulipewa notisi ya retrenchment wakati uko likizo au ukiwa umesharudi kazini??
3.Je,kuna vyama vya wafanyakazi katika sehemu unayofanya kazi??
4.Je,Tangazo LA awali LA nia ya Mwajiri kupunguza wafanyakazi lilitolewa?Kama lilitolewa ulikuwa kazini au likizo??
5.Je,ni vingezo vipi vilikubaliana Kati ya Wafanyakazi/Vyama vya Wafanyakazi na Mwajiri vitatumika katika kupunguza wafanyakazi?
Kiujumla retrenchment/kupunguza wafanyakazi siyo jambo jepesi hivyo,na taratibu zake siyo kama termination za kawaida,hivyo siyo jukumu lako kuanza kuwasiliana na Mwajiri kwa ajili ya stahiki zako ni Jukumu LA Mwajiri,na Kama uliyoeleza hapo juu yalifanywa na Mwajiri wako aise kuna makosa mengi sana ambayo.
Hivyo kabla ya kusubiri kuwa retrenched sheria inakutaka Kama HUJARIDHIA/DISPUTE katika sababu zilizotolewa na Mwajiri kufungua kesi CMA kuchallenge retrenchment na taratibu zote za kupunguza wafanyakazi zitasimamishwa hadi kesi uliyifungua kufikia tamati,japo asilimia kubwa huwa tunasubiri hadi upewa retrenchment Letter.
Pia ni vyema kabla mapema umtafute Wakili/Mtaalamu wa Sheria za Kazi kwa miongozo na taratibu zaidi,na ukipenda karibu PM tufanye kazi
Nina permanent contract lakin unakipengele cha review kuhusu mshahara kila baada ya miezi 6, saiv nina miezi 8 tangia nianze Ajira.
Notice niliyopewa ni ya termination after 30 days.
Sipo kwenye chama cha wafanyakazi.
Tangazo la awali halikutolewa, ispokuwa nilipata notice ya termination siku moja kabla ya kurudi kutoka likizo. Niliwaambia wanipe mshahara ambao nilikuwa likizo sikupewa.
Kwenye vigezo hakuna tulichokubaliana maana sikuitwa kujadili.
Sijui nimuda gan unafaa zaidi kwenda CMA ni kabla ya notice kuisha au baada?.
 
1.Umeandika kuwa Una miezi 8 toka uanze Kazi na kuna kipengele cha ongezeko la mshahara baada ta miezi 6??
2.Sorry sawa tatizo lako ni ongezeko LA mshahara?? Au retrenchment??
3.Na vipi uko sekta binafsi au serikali??
4.ulishamaliza probation period?? Kama kulikuwa kuna probation period he,ilikuwa katika Mkataba tofauti au ndani ya huo Mkataba wa kudumj(permanent Contract)?
5.Naomba kujua Tarehe na mwaka ambao huo Mkataba wa Permanent Umeanza( je mkataba wako ulikuwa na kifungu kinachosomeka kama ; mfano (a)Mkataba huu wa ajira utaanza tarehe 12-02-2024 hadi 11-02-2025
(b) Mkataba huu wa ajira Utaanza Rasmi kuanzia Tarehe 12-02-2024 hadi pale itakapositishwa kisheria( au ni Mkataba wa kudumu))
 
Kama umepewa notice ya mwezi, hiyo ni sawa tu, ushauri wangu usijaribu kufungua kesi kushitaki kampuni(kwa hapa bongo,)
Utapoteza muda na pesa,
Muulize HR, mafao yako mengine,pili cheki kama walikuwa wanapereka michango hifadhi ya jamii
Kesi nyingi zilizo idara ya Kazi(CMA) zinafunguliwa na Wafanyakazi v Waajiri na siyo Waajiri v Wafanyakazi,nafikiri ni vyema Kama anaona hajatendewa haki afuate Sheria kupata haki yake,kwani marekebisho mengi pengine na mambo mengi katika mazuri yaliyopo katika Sheria kwa namna moja au nyingine zinachangiwa na uwepo wa mashauri kadha wa kasha katika vyombo vya utoaji haki.
 
Grounds ziko sahihi,lakini procedural issues nafikiri haziko sawa ndio maana juu kabisa kuna maswali nimeuliza ili angalau wadau wawese kujua kipi cha kushauri kuliko kufanya speculations.
Compensation: ziko za kutosha hapo
Kwenye economic hardship yoyote boss anaweza tafuta option, redundancy ni moja wapo, (at anytime) unaweza tolewa ofisini, hata kama umeandika mkataba wa aina gani, any financial hardship. You are prone to be sucked ndugu.
Sheria za Tanzania, termination ya operation ya mfanyakazi, inaruhusiwa kabisa, kama kuna matatizo haswa kwenye economy, tech, structure au zinazofanania, ilimradi ni reasons beyond utashi wa muajiri.
Huyu kiufupi kakutana na redundancy.
Ambapo kuna section kwenye labour law zinataka tu muajiriwa uandaliwe, iwe siku, mwaka mwezi, ni maamuzi ya muajiri(i am open to be corrected)

Either sasa muajiri akupe notice tu kwamba babu, nakutoa as soon atapotaka kufanya maamuzi hayo.

Consultation kuwaandaa kama kuna njia zingine za nyie kubaki nae au referal au kuwaandaa tu.

Akueleze kwann anakutoa na njia gani ametumia.
Hizi waajiri wanatumia tu, kukupetpet.

Sasa huyu bwana anweza omba benefits kadhaa. Ila sio kugoma wala kupelekana mahakamani hana haki huko, (haswa kama hajajiinga na. Trade union yoyote) maana yake hana swalia mtume.

Anaweza fanya renumeration ya hiko kipindi kasema kafanya kazi.
Ana haki yakupewa annual leave.

Aombe pia mshahara wa mwezi mzima.
Aombe severence pay.
Aombe transport allowance.
Cha mwisho certificate of service.

Sasa sijajua kama una compensation tofauti na hizo kwa huyu bwana unataka kumshauri.
 
Kesi nyingi zilizo idara ya Kazi(CMA) zinafunguliwa na Wafanyakazi v Waajiri na siyo Waajiri v Wafanyakazi,nafikiri ni vyema Kama anaona hajatendewa haki afuate Sheria kupata haki yake,kwani marekebisho mengi pengine na mambo mengi katika mazuri yaliyopo katika Sheria kwa namna moja au nyingine zinachangiwa na uwepo wa mashauri kadha wa kasha katika vyombo vya utoaji haki.
Hana kesi yoyote ya kufungua mahakamani hapo ndugu, hana. Aombe tu stahiki zake kadhaa. Of which kwa muda wake ziko unsound ila kama kampuni iko poa atapewa tu.
 
Kwenye economic hardship yoyote boss anaweza tafuta option, redundancy ni moja wapo, (at anytime) unaweza tolewa ofisini, hata kama umeandika mkataba wa aina gani, any financial hardship. You are prone to be sucked ndugu.
Sheria za Tanzania, termination ya operation ya mfanyakazi, inaruhusiwa kabisa, kama kuna matatizo haswa kwenye economy, tech, structure au zinazofanania, ilimradi ni reasons beyond utashi wa muajiri.
Huyu kiufupi kakutana na redundancy.
Ambapo kuna section kwenye labour law zinataka tu muajiriwa uandaliwe, iwe siku, mwaka mwezi, ni maamuzi ya muajiri(i am open to be corrected)

Either sasa muajiri akupe notice tu kwamba babu, nakutoa as soon atapotaka kufanya maamuzi hayo.

Consultation kuwaandaa kama kuna njia zingine za nyie kubaki nae au referal au kuwaandaa tu.

Akueleze kwann anakutoa na njia gani ametumia.
Hizi waajiri wanatumia tu, kukupetpet.

Sasa huyu bwana anweza omba benefits kadhaa. Ila sio kugoma wala kupelekana mahakamani hana haki huko, (haswa kama hajajiinga na. Trade union yoyote) maana yake hana swalia mtume.

Anaweza fanya renumeration ya hiko kipindi kasema kafanya kazi.
Ana haki yakupewa annual leave.

Aombe pia mshahara wa mwezi mzima.
Aombe severence pay.
Aombe transport allowance.
Cha mwisho certificate of service.

Sasa sijajua kama una compensation tofauti na hizo kwa huyu bwana unataka kumshauri.
Kuna vitu umeandika nafikiri niko na mtizamo tofauti na wewe,ila kama nilivoandika hapo awali ntakutumia vifungu vya sheria ili uvipitie alafu utatoa tena mtazamo wako
 
Mtumie yeye umsaidie. a nimewahi kutana na consultation kama hiyo. Ila kwa sasa. Nafanya shughuli zingine nje, nimeachana na kisomo changu muda mrefu sasa. Hivo sijui grounds mnazotumia miaka ya karibuni. Msaidie ndugu kama una kitu cha tofauti. Or unitumie hapa, nikudadavulie kwa vifungu.
Ila nikichelewa. Naomba upitie hivi vifungu.

Section 38(1) (a) of the Employment and Labour Relations Act(kuhusu notice ya intention ya retrenchment)

38(1) (b) of the Employment and Labour Relations Act(consultation)

Section 44 of the Employment and Labour Relations Act(benefits of employee)
Kwa uchache.
Sina precedent yoyote ambayo itanisaidia kwake ila embu mdadavulie.
 
Acha kung'ang'ania kazi za watu kama hawakutaki regardless of sababu walizokupa, yatakukuta mabaya, huwez jua unaliepuka jambo gani!.
Kwann ulazimishe mtu akuajiri na kaonyesha dalili za kutotala kuendelea na wewe na kakupa notice ya 30 days ujipange?
 
Pole Sana,ila kuna hatua za kufuata pale ambapo mwajiri anataka kupunguza wafanyakazi/retrenchment na hiyo notice uliyopewa ni suala LA mwisho kabisa baada ya mchakato wote wa kupunguza wafanyakazi.
1: Una aina gani ya Mkataba wa Kazi/Ajira
2: Je,ulipewa notisi ya retrenchment wakati uko likizo au ukiwa umesharudi kazini??
3.Je,kuna vyama vya wafanyakazi katika sehemu unayofanya kazi??
4.Je,Tangazo LA awali LA nia ya Mwajiri kupunguza wafanyakazi lilitolewa?Kama lilitolewa ulikuwa kazini au likizo??
5.Je,ni vingezo vipi vilikubaliana Kati ya Wafanyakazi/Vyama vya Wafanyakazi na Mwajiri vitatumika katika kupunguza wafanyakazi?
Kiujumla retrenchment/kupunguza wafanyakazi siyo jambo jepesi hivyo,na taratibu zake siyo kama termination za kawaida,hivyo siyo jukumu lako kuanza kuwasiliana na Mwajiri kwa ajili ya stahiki zako ni Jukumu LA Mwajiri,na Kama uliyoeleza hapo juu yalifanywa na Mwajiri wako aise kuna makosa mengi sana ambayo.
Hivyo kabla ya kusubiri kuwa retrenched sheria inakutaka Kama HUJARIDHIA/DISPUTE katika sababu zilizotolewa na Mwajiri kufungua kesi CMA kuchallenge retrenchment na taratibu zote za kupunguza wafanyakazi zitasimamishwa hadi kesi uliyifungua kufikia tamati,japo asilimia kubwa huwa tunasubiri hadi upewa retrenchment Letter.
Pia ni vyema kabla mapema umtafute Wakili/Mtaalamu wa Sheria za Kazi kwa miongozo na taratibu zaidi,na ukipenda karibu PM tufanye kazi
Wewe ndo imesema kitaalam kabisa.
 
Kitu Cha kwanza unatakiwa uwende ukazungumze na muajiri ujue kwa sababu gani umekuwa retreached na kama mwajiri wako hajakupatia sababu za msingi za kukufanyia retrenchment for instance notice, na malipo unayostahili unaweza kuandika barua kwa mwajiri ukielezea haki unazodai after then kama mwajiri hajatoa majibu ya kuridhisha au hatoshughulika na malalamiko Yako bhas utapeleka malalamiko Yako CMA ni muhimu vitu vyote hvyo kufanyika ndani ya siku 30 hivyo usisubiri hzo cku zikaisha
Hapana, mpaka hatua hii, mwajili ndiye mwenye jukumu la kutangaza nia ya kufanya retrenchment, thena afanye consultation meeting, ili kukubaliana na walichokiamua na namna ya kuachana. Then yanatekekezwa yaliyokuliwa. Kitendo cha kupewa tu barua bola kufanya consultation hiyo tu ni Dalglish ya unfair termination.

AENDE CMA
 
Mtumie yeye umsaidie. a nimewahi kutana na consultation kama hiyo. Ila kwa sasa. Nafanya shughuli zingine nje, nimeachana na kisomo changu muda mrefu sasa. Hivo sijui grounds mnazotumia miaka ya karibuni. Msaidie ndugu kama una kitu cha tofauti. Or unitumie hapa, nikudadavulie kwa vifungu.
Ila nikichelewa. Naomba upitie hivi vifungu.

Section 38(1) (a) of the Employment and Labour Relations Act(kuhusu notice ya intention ya retrenchment)

38(1) (b) of the Employment and Labour Relations Act(consultation)

Section 44 of the Employment and Labour Relations Act(benefits of employee)
Kwa uchache.
Sina precedent yoyote ambayo itanisaidia kwake ila embu mdadavulie.
umeeleza vyema sana ,section 38(2)ELRA - matter to be refereed to CMA for mediation Rule 23(1)-(3) GN 42 OF 2007 ,Rule 23(4)- Emphasis in adherence of the Procedural and substantive grounds,rule 23(5)-(9)GN 42 OF 2007
 
Acha kung'ang'ania kazi za watu kama hawakutaki regardless of sababu walizokupa, yatakukuta mabaya, huwez jua unaliepuka jambo gani!.
Kwann ulazimishe mtu akuajiri na kaonyesha dalili za kutotala kuendelea na wewe na kakupa notice ya 30 days ujipange?
UKO SAHIHI
 
Mtumie yeye umsaidie. a nimewahi kutana na consultation kama hiyo. Ila kwa sasa. Nafanya shughuli zingine nje, nimeachana na kisomo changu muda mrefu sasa. Hivo sijui grounds mnazotumia miaka ya karibuni. Msaidie ndugu kama una kitu cha tofauti. Or unitumie hapa, nikudadavulie kwa vifungu.
Ila nikichelewa. Naomba upitie hivi vifungu.

Section 38(1) (a) of the Employment and Labour Relations Act(kuhusu notice ya intention ya retrenchment)

38(1) (b) of the Employment and Labour Relations Act(consultation)

Section 44 of the Employment and Labour Relations Act(benefits of employee)
Kwa uchache.
Sina precedent yoyote ambayo itanisaidia kwake ila embu mdadavulie.
 
Attachments

Huyu bwana, achukue hela achukue certificate, atapata kazi nzuri, tena aombe ile ya minister, akileta janja janja za kuja kwenye sheria itamramba, yaani asithubutu, labda afungue biashara yake akitoka hapo.
 
Tatizo ni
1.Umeandika kuwa Una miezi 8 toka uanze Kazi na kuna kipengele cha ongezeko la mshahara baada ta miezi 6??
2.Sorry sawa tatizo lako ni ongezeko LA mshahara?? Au retrenchment??
3.Na vipi uko sekta binafsi au serikali??
4.ulishamaliza probation period?? Kama kulikuwa kuna probation period he,ilikuwa katika Mkataba tofauti au ndani ya huo Mkataba wa kudumj(permanent Contract)?
5.Naomba kujua Tarehe na mwaka ambao huo Mkataba wa Permanent Umeanza( je mkataba wako ulikuwa na kifungu kinachosomeka kama ; mfano (a)Mkataba huu wa ajira utaanza tarehe 12-02-2024 hadi 11-02-2025
(b) Mkataba huu wa ajira Utaanza Rasmi kuanzia Tarehe 12-02-2024 hadi pale itakapositishwa kisheria( au ni Mkataba wa kudumu))
Retrenchment
Nahudumu sector binafsi
Sikuwa na probation contract ispokuwa ilikuwa ni permanent contract ambapo wakati wa discussion ya huo mkataba tulikubaliana kwakua nimeanza na mshahara mdogo bc kila baada ya miezi sita kutakuwa na review.
Mkataba unasema utaanza kazi tarehe 2 October 2023 and continue until there is joint agreement to terminate the contract (subjected to renewal and discussion)
Kwenye Job description unasema it permanent term contract but subjected to six months renewal).
Kwenye termination unasema a) kuwe n seriously misconduct
B) notice of one month.
Kwa maana hyo mkataba umeeleza siku ya kuanza ambayo ni October 2023 na utaendelea mpaka kutakapokuwa na joint agreement to terminate the contract mabano(subjected to renewal and discussion).
Saivi nipo mwezi wa 9 nahudumu mkataba wangu ambapo mwezi huu ndo upo kwenye notice bado siku 13 notice iishe.
 
...wakati wa discussion ya huo mkataba tulikubaliana kwakua nimeanza na mshahara mdogo bc kila baada ya miezi sita kutakuwa na review.
okay lakini inabidi tujikite katika tatizo lililopo kwa sasa ambalo ni retrenchment na siyo mapunjo au breach of contract(salary increase after 6 months)
 
Tatizo ni

Retrenchment
Nahudumu sector binafsi
Sikuwa na probation contract ispokuwa ilikuwa ni permanent contract .
Mkataba unasema utaanza kazi tarehe 2 October 2023 and continue until there is joint agreement to terminate the contract (subjected to renewal and discussion)
kiujumla,mkataba wa Ajira ya Kudumu huwa haufanyiwi renewal after its expiration sababu huo ni permanent(no-life span except upon death or other incident thereto partnering to termination),hivyo basi kwa mazingira hayo ni ngumu kubaini aina ya mkataba husika,ila siyo tatizo sana cha muhimu ni kijikita katika TATIZO tu ambalo ni kutokufuatwa kwa taratibu za kupunguza wafanyakazi.

Kwenye Job description unasema it permanent term contract but subjected to six months renewal
Hili jambo kwangu naona ni geni sana na kama nilivyoeleza awali permanent contract are not subject to renewal as they are permanent(infinite period)
Kwa maana hyo mkataba umeeleza siku ya kuanza ambayo ni October 2023 na utaendelea mpaka kutakapokuwa na joint agreement to terminate the contract mabano(subjected to renewal and discussion).

Saivi nipo mwezi wa 9 nahudumu mkataba wangu ambapo mwezi huu ndo upo kwenye notice bado siku 13 notice iishe.
unaweza kurejelea majadiliano na michango ya awali iliyotolewa katika Uzi wako na kuufanyia kazi juu ya taratibu za kufuata,pia tafuta Mwanasheria/Wakili atakusaidia kukuongoza vyema.kila la kheri
 
Back
Top Bottom