Salaam, Shalom!!
Nijuavyo,
1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa.
2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa halali iwe mtaji, biashara italaaniwa na kufa.
3. Ukimwibia boss wako, unachukua pesa hiyo na kuchanganya na pesa halali uliopewa kihalali Toka chanzo halali, ukifungua biashara biashara itakufa maana wizi hupelekea mauti ya Kila ukifanyacho.
4. Ukienda Kwa mganga wa kienyeji na kumpa sadaka akusaidie Kwa lolote, sadaka hiyo itarudi kutuletea LAANA maana hiyo ni zinaa, ni Ibada ya sanamu, usishangae kuzaa mapooza, utazaa watoto wazinzi, wasioolewa Wala kudumu katika NDOA, wezi ndo usiseme nk nk.
5. Wauza drugs, hawajawahi ichukua pesa Ile na kuichannel kwenye biashara halali Hadi itakatishwe kwanza maana haramu ni haramu tu, haiwezi kuwa halali.
Vp kuhusu haya mambo ya kura fake vs kura halali , huko mbeleni Nchi haitozaa mapooza Kweli?
Karibuni 🙏