Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 230
- 793
Rekebisha hapo chini Ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. na Sio Dr. John Nchimbi.ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania.
Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
Hamumtaki Mama jamani? 😂😂Aliyependekeza Samia awepo hapo ni nani? Usijivunjie heshima
Nchi ya ******* sana hiiHivi hii nchi huwa haina watu wapya?
Kila siku majuso ni yale yale tu, nchimbi, wasira, mwigulu, nape, makamba!!! The same faces for all the eternity!
Hakuna watu wengine??
Chukua wewe Fomu mkuu hahaHivi hii nchi huwa haina watu wapya?
Kila siku majuso ni yale yale tu, nchimbi, wasira, mwigulu, nape, makamba!!! The same faces for all the eternity!
Hakuna watu wengine??