KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Kumpa mwanaharakati chama ni kukitumbukiza shimoni, Lissu ni mwanaharakati. Angetafutwa mwingine, sio Lissu. Hata hivyo nakubali kuwa wakati wa Mbowe umekwisha.
 
Resistance to change ni sumu mbaya
Shida ni ubadilike je ili kuwe na uendelevu. Chukulia mfano Msigwa angeshinda nafasi ya Kanda ya Nyasa si angekuwa KIRUSI, ndio maana ungalifu ni muhimu sana kwenye mabadiliko.
 
Mbowe anapata faida gani Uenyekiti?
 
Duuuh Mzee Mbowe
 
Nimepiga Kura yangu kwa Lissu, najua CCM wanamuogopa Lissu kama Hezbollah wanavyomugopa Netanyau!
 
Mbowe ni CCM
 
Himahima Watanzania twendeni na Tundu Lissu.
 
Mbowe awe na aibu ya kawaida tu
 
Lissu anafaa ila ana hulka ya Udikteta wa wazi wakati Mbowe hana msimamo anaangalia maslahi yake binafsi na ana Udikteta wa kificho na apenda visibility ya peke yake ndiomana kila kitu anataka azungumze yeye tu wakati inajulikana mvuto una nyakati kuendana haiba ya mtu
 
Vijana wa Mbowe mko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…