Kelele zimekuwa ni nyingi sana kuhusu ni upi muundo wa serikali katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania uliopendekezwa/ unaopendelewa na watanzania tulio wengi. Huu sasa ni wakati muafaka kwa mitandao mbalimbali ikiwemo humu JF kuendesha kura ya wazi tuone na kuondoa ubishi juu ya huu muungano bila kuuvunja.
Ni serikari Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Tupo zama nyingine kipindi hiki cha Teknolojia ya kompyuta. Kazi kwenu.