alexmahone
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 482
- 406
Jeshi lishike hatamu, na volume 1, 2 na 3 ndo viwe muongozo wetu. Huu muundo wa serikali za kiraia umetuchosha hauna jipya zaidi ya kufilisi nchi.
Tunataka hivi,
Raisi wa JMT General .......,waziri mkuu Meja General ....... na Judge mkuu Brigedia.....wametia sahihi kuamuru kunyongwa hadi kufa kwa mafisadi papa watano na tukio hilo litarushwa live na vituo vyote vya Television kutoka viwanja vya Jangwani kesho sa tano kamili asubuhi.Wananchi wa karibu mnaombwa kuhudhuria.