Muungano wa serikali mbili ulikuwa muelekeo wa kwenda kwenye serikali moja kwa mujibu wa baba wa taifa Mwl J K. Nyerere.kama hiyo imeshindikana kila mmoja aende kivyake.
kwa maoni yangu nashauri jambo hili liamuliwe na wananchi, kwa maana jambo hili linaweza kukwamisha kuundwa kwa katiba mpya. maana yangu ni kwamba iitishwe kura ya maoni ambayo itahusu jambo moja tu yaani aina ya muungano. kura hii ya maoni itofautishwe na kura ya maoni ya katiba mpya. nawaomba wanasiasa wote bila kujali itikadi zenu za kivyama au kidini muunge mkono ushauri huu.
Muweka mada tatizo sio muundo wa muungano bali tatizo ni muungano wenyewe,je watanganyika na wazanzibr wanautaka huo muungano,ipigwe kura wazanzibr kivyake na watanganyika kivyake,tuanzie hapo,zanzibar
kwanza,ahsanta