Pre GE2025 Kura muibe kama alivyokiri DC Ng'umbi, je, huko maporini huwa mnafanya vitu gani au huwa mnawapoteza wagombea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Me huwa nashangaa watu wanaojaribu kusimamia na kusemea wanyonge hupotea

Lakini wanao pamba na kutukuza utawala wako huru
Inabidi wanyonge wasimame nao waulize Hawa walio upande wetu wako wapi
 
Huyu atakuwa kalewa maana kaongea mambo ya aibu sana kwa serikali, huyu wakuliwa kichwa hana maana kabisa
 
Ndio maana nchimbi alikimbia mdahalo lakin aliyopaswa kuyasema yamesemwa na mfuasi wao.
 
Aliyemteua anayajua hayo mapori
 
Bora kutumika na Mabeberu kuliko kutumika na mashetani

Huyu atakuwa kalewa maana kaongea mambo ya aibu sana kwa serikali, huyu wakuliwa kichwa hana maana kabisa

Hajalewa, alichoongea ndio ukweli mchungu wenyewe.

Conclusion..
Huyu jamaa Ni Mshamba..
Yes, na si mshamba tu, ana ujuaji wa kishamba pia likatili. Macho yake tu yanaonyesha.

Siyo kweli, huyu Siyo mshamba Bali ni mtu msema ukweli, Siyo mtu mnafiki.
 
Kujifanya mwanausalama unaijua sana nchi. Matokeo yake ndiyo haya Pale unapojiona upo sawa wakati serikali haipo sawa.
 
Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi?
Damu za waliowapoteza ziko juu yao na watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…