Kura ya maoni imefikia wapi?

Kura ya maoni imefikia wapi?

poa mkuu, matusi mwiko!

Those are just ethical issues to consider in order to have good and moderate society with good norms. Kwanza matusi siyo jambo jema ktk jamii. Unapotumia matusi unaondoa hekima na busara uliyonayo. Na hutaheshimika kama mwanzo.
 
Habari Wana Jf.

Hivi hili swala la kura ya maoni ya kupitisha/kukataa KATIBA PENDEKEZWA Imeishiaga wapi?
Maana hata haisikiki tena

Nawasilisha.
WEWE SIO NEC labda utuambie kama umetumwa na Ukawa hao maboss wako, hakika njaa inakusumbua kijana
 
Back
Top Bottom