Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Naona umeshachukua card ya CCM hivi ni namba ngapi?Serikali 2 ndo mpango mzima! Tukiendekeza 3 Serikali ya Muungano itakuwa haina hata ardhi (ardhi si suala la Muungano) na itakuwa ombaomba kwa nchi washirika kwa kuwa haina vyanzo vya mapato vya kwake!
Haki za Muungano na wajibu wa Nchi shiriki alizozitaja Warioba unaziweka wapi?Serikali 2 ndo mpango mzima! Tukiendekeza 3 Serikali ya Muungano itakuwa haina hata ardhi (ardhi si suala la Muungano) na itakuwa ombaomba kwa nchi washirika kwa kuwa haina vyanzo vya mapato vya kwake!
Cha kwanza Tanzania ni nchi huru inayo jiamuliya mambo yake yenywewe na katika hili swala la muungano kuna suluhisho moja tu ambayo litawaridhisha wote watanganyika na wazanzibari na muundo huo ni huu
Tunakuwa na mataifa huru mawili ndani ya serekali moja maana yake ni hii, Tunakuwa na nchi huru mbili ambazo ni Tanganyika na Zanzibari zitakazo na ongozwa na waziri wakuu watakao wachagua na wabunge ndani ya bunge lakini hizi nchi mbili zote zitakuwa zinaongozwa na raisi mmoja ambayo atachaguliwa na watanzania woote ili kuimarisha uumoja wa kitaifa
Na mambo mengine ya kiutawala yataendelea kawaida ila wawaziri wakuu ndo viongozi wa nnchi husika na rahisi ndo atatawala nnchi yoote kwa ujumla hayo ndo mawazo yangu mnaruhusiwa kuboresha na kukosoa pia, MUNGU WABARIKI WANAOTAKA KUBARIKIWA.......EEMEN
Cha kwanza Tanzania ni nchi huru inayo jiamuliya mambo yake yenywewe na katika hili swala la muungano kuna suluhisho moja tu ambayo litawaridhisha wote watanganyika na wazanzibari na muundo huo ni huu.
Tunakuwa na mataifa huru mawili ndani ya serekali moja maana yake ni hii, Tunakuwa na nchi huru mbili ambazo ni Tanganyika na Zanzibari zitakazo ongozwa na mawaziri wakuu wawili watakao wachagua na wabunge ndani ya mabunge husika yaani ya kila nnchi lakini hizi nchi mbili zote zitakuwa zinaongozwa na raisi mmoja ambayo atachaguliwa na watanzania woote ili kuimarisha umoja wa kitaifa.
Mawawaziri wakuu ndo viongozi wa nnchi husika na wote watakuwa chini ya rahisi wa tanzania na huyu rahisi wa tanzania atatawala nnchi yoote kwa ujumla na hayo ndo mawazo yangu mnaruhusiwa kuboresha na kukosoa pia.
MUNGU WABARIKI WANAOTAKA KUBARIKIWA.......EEMEN