1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa muungano, upi ni muundo sahihi?
1.Serikali moja.
2. Serikali mbili.
3.Serikali tatu.
N:B ukiweza kutoa sababu za muundo wa muungano unaoutaka itakuwa vizuri zaidi
Serikali inayohitajika ni MOJA TU.serikali 2 na muungano wa mkataba
Moja au Tatu...mbili ni upuuzi!